News

YANGA leo jioni imetangaz akumuongezea mkataba wa miaka miwili, kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Pacome Zouzoua, ikiwa ni ...
MABOSI wa Simba wapo siriazi na ishu za usajili, sema wenyewe mambo yao wanafanya kimyakimya, wakitaka kuja kuwasapraizi ...
KLABU zipo bize kwelikweli. Kila mmoja inapambana kufanya usajili mpya sambamba na kuachana na wachezaji ambao hawapo katika mipango yao kwa msimu ujao. Pia ikijipanga kwa kambi ya ...
Gwiji wa mieleka na mwigizaji maarufu, Hulk Hogan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71. Kwa mujibu wa taarifa ...
Katika ukurasa wake wa 'Good People Gang, Zuchu ameonyesha mchanganuo wa kila vazi lililokuwa mwilini mwake na kusema gharama ...
Ni safari ya ndoto kwa Offen Francis Chikola ambaye amejiunga na mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu Bara, Yanga kwa mkataba ...
MIAKA mitatu tu iliyopita jina la Victorien Adebayor lilikuwa maarufu katika ardhi ya Tanzania ingawa mchezaji huyo wa Niger ...
KLABU ya Yanga imethibitisha kumuongezea mkataba wa miaka miwili kiungo wake, Pacome Zouzoua baada ya ule wa awali kumalizika ...
UONGOZI wa maafande wa Mashujaa FC, umetangaza kuachana na nyota watano wa kikosi hicho baada ya kutofikia makubaliano ya ...
LIGI ya Kikapu Dar es Salaam (BDL) inayoshirikisha timu za wanaume na wanawake, imezidi kushika hisia za wengi huku baadhi ya ...
UONGOZI wa Mbeya City uko katika hatua nzuri za kumsajili aliyekuwa beki wa kushoto wa maafande wa Mashujaa FC, Yahya Mbegu ...
UONGOZI wa maafande wa Mashujaa, huenda ukaachana na nyota watatu wa kikosi cha kwanza msimu huu, baada ya kutokuwa na ...