Imesema hatua hiyo itaondoa changamoto iliyopo sasa ya kwenda umbali mrefu hadi kwenye mikoa ya Dodoma au Mwanza, kufuata huduma hiyo. Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora, Dk. John Mboya, alisema hayo ...