News

Mwili wake utazikwa Jumanne, nyumbani kwao Kidatu huko Kilombero mkoani Morogoro, kesho Jumatatu utasafirishwa kutoka jijini ...
Imebaki kwa watia nia wa Chadema, kuamua ni jukwaa gani la kisiasa wanaweza kulitumia ili kutimiza malengo yao ya kugombea ...
Mikakati ya kukiimarisha kikosi cha Yanga kwa ajili ya msimu ujao, imeanza mapema kwa kocha wa timu hiyo, Hamdi Miloud ...
Pamoja na kupata ushindi kiduchu wa bao 1-0 dhidi ya Stellenbosch ya Afrika Kusini kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, ...
Oktoba 2025, Tanzania inatarajia kufanya uchaguzi mkuu wa madiwani, ubunge na Urais huku ndani ya Chama cha Demokrasia na ...
Viongozi wakuu wa nchi katika ujumbe wao wa Pasaka, wamezungumzia uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, wakiwataka wananchi kujitokeza kushiriki na kuepuka vurugu.
Ingawa kuharibika mara kwa mara kwa miundombinu ya barabara kunachochewa na sababu nyingi, kukosekana udhibiti wa malori ya ...
Ikiwa imesalia takribani miezi sita Tanzania kuingia katika uchaguzi mkuu, viongozi wa dini wametoa wito kwa Serikali na ...
Unakumbuka mwaka 1993 wakati Simba inacheza fainali ya Kombe la CAF ambalo baadaye 2004 likaunganishwa na Kombe la Washindi ...
Yanga haitokuwa na wachezaji watano katika mechi yake ya Ligi Kuu dhidi ya Fountain Gate, kesho Jumatatu, Aprili 21 katika Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Babati, Manyara.
Miili ya watu sita kati ya saba waliofariki dunia katika ajali ya gari la kubebea wagonjwa lililogongana na pikipiki ya magurudumu matatu, maarufu 'Guta' inatarajiwa kuagwa kesho Jumatatu ...
Mtume Boniface Mwamposa wa Kanisa la Inuka Uangaze ametoa wito kwa Watanzania kuliombea Taifa liwe na amani kuelekea uchaguzi ...