Dar es Salaam. Baada ya video za mwanamuziki Mbosso kusambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuonyesha akiwa hospitali amelazwa. Msanii huyo ameweka wazi kuwa alikuwa akisumbuliwa na tatizo ...
Baada ya video za mwanamuziki Mbosso kusambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuonyesha akiwa hospitali amelazwa. Msanii huyo ...
Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Gereza la Ukonga, Josephat Mkama na wenzake wawili, imekwama kuanza kusikilizwa.
Serikali imesema matumizi ya kondomu wakati wa tendo la ngono nchini yamepungua kwa kiasi kikubwa, hali inayoongeza hofu ya kuongezeka kwa maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi (VVU).
Maelfu ya wanachama, wapenzi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) pamoja na wakazi wa Tarime na maeneo jirani wamekusanyika nyumbani kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema ...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche amesema chama hicho kipo tayari kutembea katika hatua ngumu inayotarajiwa ...
Maelfu ya wanachama, wapenzi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) pamoja na wakazi wa Tarime na maeneo ...
Wakiwa na miezi sita tangu kuweka wazi uhusiano wao, Jux na Priscilla Ojo ‘Hadiza’ wamekuwa wakitoa somo zuri kwa mashabiki na wadau wa Bongo kuhusiana na maana ya mahusiano ...
Umoja wa Maofisa Watendaji Wakuu wa Kampuni (CEOrt-Roundtable), umesema namna pekee ya Tanzania kujiondoa katika utegemezi wa ...
Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Bulaya amekipongeza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kuendesha uchaguzi wa ndani kwa uwazi na kufuata misingi ya demokrasia.
Katika Ligi Kuu Bara kwenye mechi za wiki hii ilishuhudia Yanga na JKT Tanzania zikitoka 0-0. Na juzi Jumanne, Simba nayo ...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amewasihi Watanzania kujikita katika kujadili hoja ...